Bwana mdogo ajiulize saa Mulongo anawapiga watu mzinga mtaaniWakati tukiendelea kusoma historia ya akina Chifu Mangungo, ngoja tuiangalie Tanzania ya miaka 200 ijayo ni nani ataendelea kusomeka kwenye histori kati ya Mh. Godbless Lema na watesi wake hasa yule bwana mdogo!