let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Kama ulikuwa kwenye akili yangu.Jw ikajifanya kuwa nyuma ya wanachi,Wananchi Vichwa vikawaka,wakajua kuwa tunaowatetezi nyuma yao,kilichokea ni MASSACRE.
Maelfu ya watu wameuawa ndani ya siku Nne tu.wakati Mama na genge lake wameua na kuteka watu zaidi ya Mia tatu kwa kipindi cha miaka miwili. wametumia muda mrefu ila matokeo hafifu wakati Jw imetumia muda mchache zaidi ila matokeo significant.
KUNA WATAKAO MSAMEHE HUYU MAMA ILA DHAMBI YA JW IMEANDIKWA KWA KARAMU YA CHUMA.
RIP WASHIKAJI ZANGU,CHATI ZENU ZA MWISHO NITAZIHIFADHI HADI NITAKAPO IRUDIA ARDHI.
Tena ni waoga haswaa wale wengi wapo mule kusaka ugali wakifikiria maisha mtaani magumu ni waoga balaaKama ulikuwa kwenye akili yangu.
Jw ni wanafiki pia ni waoga.
I wish waende vitani wakafe tu.
Wewe ni zaidi ya mpumbav ambaye umbaye una ubatizo wa shetani.Sina cha kulaumu, walaumiwe ikiwa tu maandamano yalikua ya amani, ila maandamano yaliyojaa uhalifu ni ngumu kuyalinda, unamlinda vipi mtu anaevunja maduka ya watu na kuiba? Unamlinda vipi mtu anaharibu mali za watu na miundombinu?
Kila mtu akubali makosa yake.
Hatuna jeshi tuna uchafu tu unaojiita jeshi la kulinda wanainchi, ila kihalisia ni jeshi la kulinda watawala.Kama ulikuwa kwenye akili yangu.
Jw ni wanafiki pia ni waoga.
I wish waende vitani wakafe tu.
Nakubaliana na wewe.Hatuna jeshi tuna uchafu tu unaojiita jeshi la kulinda wanainchi, ila kihalisia ni jeshi la kulinda watawala.
Limejaa vilaza tupu, na ndio maana huwa wanabakwa mpaka na Mafwele.