Dhambi ya Ubaguzi: Wafanyakazi the Guardian walalamika Wahindi kununuliana magari huku wafanyakazi wakilazimishwa kuwa vibarua

Yani hv hamuwajui wahindi waafrika ni watu ambao mpaka mwaka huu bado hawajui hila za watu wageni nchini kwao
 
Ukweli huu mchungu naubeba mkuu
 
Huyo ndio tegemeo,hata tanzanite mzee alikua anauzia ofisini kwake bonite,nimeenda mara 2 kununua kipindi cha 2013
Basi anaaminika sana which is good. Tangu enzi za Toyota Cressida (Wine Color) mpaka leo ni miaka mingi imepita.
 
U
Umenikumbusha kule Moshi Kilimanjaro, kampuni ya bonite bottlers ltd inaitwa in ya Regnald mengi kumve ni ya wahindi kuanzia malori ya kihindi Hadi wafagiaji ni wahindi
 
U

Umenikumbusha kule Moshi Kilimanjaro, kampuni ya bonite bottlers ltd inaitwa in ya Regnald mengi kumve ni ya wahindi kuanzia malori ya kihindi Hadi wafagiaji ni wahindi
Baada ya jamaa kufa wamechukua kampuni wao,nafikiri walikuwa shareholders
 
ITV ikiendelea hivi na watoto wa Marehemu Mengi wakiwa wanazubaa zubaa tu, inakufa within 5 years. Poor management ishaanza na ITV itakufa soon
 
mkurugenzi kuwa na gari unaona noma au kumnunulia ndugu yake umeona tabu unajua mshahara wa mkurugenzi wewe mbeba chupa za soda
 
U

Umenikumbusha kule Moshi Kilimanjaro, kampuni ya bonite bottlers ltd inaitwa in ya Regnald mengi kumve ni ya wahindi kuanzia malori ya kihindi Hadi wafagiaji ni wahindi
Bonite inamilikiwaje na wahindi, kwahiyo mengi alikuwa kama nani pale bonite, explain peno hasegawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…