Dhamira Kuu, Mapenzi....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Kiukweli nilimpenda, ila yake matendo yalinirudisha nyuma. Ila ndo hivo nyani haoni kundule, hata Kasie yake matendo yalimvuruga.....

Basi wacha dhamira kuu iendeshe dunia.


Ooh yeah, feel free kuchana mistari.

Kasie Mapenzi.
 
Kimenuka?

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Kasie aliemroga alishakufa vita vya kagera
Kasie sema tu kuwa unanizimikia usije ukafa na tai shingoni

Mwekunduuuuu unajua .........
Haya, ngoja niache kuzunguka zunguka na niweke wazi kila mtu ajue.

Tangazooooo. ...

Kasinde aka Kasie amemzimikia bin kumpenda bin kumdondokea Bwana Mwekundu. Yaani niko hoi atabaki sijiwezi sijitambui, nasema hematite tuu.

Ila namshukuru maulana kwa kukufunulia na wewe kuwa Kasie mie nimekuzimikia ila kukwambia nilikuwa naona soo. Asante sana umenisaidia mnoo mwekundu mie lavuu yuuu mooo. Mwaah!!

Sasa nakuachia uendelee mambo maana shurti mambo haya mwanaume awe mbele mie nifuate.

Ila avatar yako huwa unanifanya nahisi wewe ni nanihii ..... nyaaani. ...

Kasie Mahaba.
 
Kimenuka?

Sent from my HTC Desire 820G PLUS dual sim using JamiiForums mobile app

Waapiii waalaah ni mapenzi bin mahaba yanayoendelea duniani.
 
huuu wimbo bhana ni bonge moja ya kazi ya fasihi.

Kasie , you are the best

Ni watu wachache sana wanafahamu na kugundua kilichopo nyuma ya sanaa yamuziki wengi huishia kusikiliza mdundo na maandishi ila hawaoni ndani au nyuma ya wimbo kuna nini.

Big up to you best.
 
ha ha tulia wewe kasie....nyani lazima awe nao wengi na raha ya mwanaume muwe wengi wanawake lol
nimeshakukubalia zamu yako wednesday
 
ha ha tulia wewe kasie....nyani lazima awe nao wengi na raha ya mwanaume muwe wengi wanawake lol
nimeshakukubalia zamu yako wednesday

Hahahahaaa ukaidi sina linapokuja swala la urijali, hivi jumatano si ndio Wednesday eeh... basi nakusubiria kwa hamu utanikuta nimejaa tabasamu telee.
Hivi mkubwa wa manyani ni baboon eeh. Napendaga vile wanapiga kelele au uyowe kwanguvu kisha wanapigapiga mikono kifuani kwanguvu like gudugudugudugudu....

See yaah.
 
Hapa ili nielewe nitaenda maktaba kuchimba ma volumes yenye hii sanaa kuntu kutoka kwa [HASHTAG]#Kasie[/HASHTAG] aka kasinde.
 
Wacha ya run dunia,Mapenzi matam ila hayazidi mirinda nyeusi#kasie ushawai onja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…