Lenyewe lilishaikubali Hali hiyo long time a go, acha lipambane na Hali yake, huenda siku likazinduka usingizini, kwani jobo na msaidizi wake walituona hamnazo Kwa muda mrefu takribani miaka , 6iliyopita walisahau kama Mungu sii Athumani🏃.Wote tumeona spika alivyoshushiwa spana na wakuu wa dola pamoja na wale wengine kwenye chama. Hebu tujiulize kidogo, mnapomuondoa spika kwa kutimiza wajibu wake mnapeleka ujumbe gani kuhusu bunge kuwa mhimili huru wa kuishauri na kuisimamia serikali, je, bunge litabaki kuwa kikaragosi cha kucheza mdundo unaopigwa na serikali?
Tulivyosutwa na kuambiwa tunaleta chokochoko hawa jamaa walikua busy wanaimba mapambio ya kusifu na kuabudu.Kwanini hukuuliza kipindi cha marehemu pombe uje uulize kipindi hiki tunapotaka kufungua nchi?
Tukisema katiba mpya mnatuzodoa... Hebu kafieni mbali