Dhana ya Conspiracy Theories au Nadharia ya Njama

Dhana ya Conspiracy Theories au Nadharia ya Njama

Mathanzua

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17,251
Reaction score
22,929
Kuna dhana nyingi ambazo watu huzitumia bila kujua zina-maanisha nini hasa. Baadhi ya dhana hizo zina ajenda mbaya, kwa hivyo unapozitumia, unasaidia kuendeleza ubaya unaotokana na ajenda hizo mbaya.

Dhana moja kama hiyo ni dhana ya "Nadharia za Njama au Conspiracy Theory"

Dhana hii ilitumika kwa mara ya kwanza mwaka 1964. Lengo wakati huo lilikuwa kuficha kwamba mkono wa Serikali ya Marekani ulitumika katika kumuua Rais wa Marekani wa wakati huo John F.Kennedy.Sikiliza klipu hapa chini.

"Tucker Carlson SHOCKED When High-Level CIA Source Confirms CIA Killed JFK – VT | Alternative Foreign Policy Media" Tucker Carlson SHOCKED When High-Level CIA Source Confirms CIA Killed JFK – VT | Alternative Foreign Policy Media


Dhana hii imekuwa ikitumiwa tangu wakati huo na watu,taasisi ya NWO na taasisi zake ikiwemo ya CIA na washirika wake,kwa nia ya kuficha ukweli unaofichuliwa kuhusiana na shughuli ovu za NWO dhidi ya ubinadamu.

Labda ni wakati wa kujiuliza sasa ikiwa unafanya wema wowote kwa ubinadamu kwa kuita ukweli unaofichuliwa kuhusiana na shughuli ovu zinazofanywa na NWO dhidi ya ubinadamu "Nadharia za Njama" au Conspiracy Theories."

Je, hudhani kwamba unasaidia kuendeleza uovu unaotendwa dhidi ya binadamu na NWO na hata dhidi yako?

Ninaamini kwamba sasa ni wakati wa kuamka kama binadamu na kupigana na adui yetu wa pamoja, The NWO Cabal, badala ya kuegemea upande wa uovu. Kumbuka kwamba idadi yetu kubwa ya watu bilioni 7 na zaidi, pamoja na umoja wetu ndizo silaha zetu kuu. Tukiungana tunashinda, tukigawanyika tunashindwa(United we win, devided we loose.)
 
kuna facts nyingi sana duniani zipo peupe na zinapuuzwa kwa mgongo wa conspiracy theories
 
kuna facts nyingi sana duniani zipo peupe na zinapuuzwa kwa mgongo wa conspiracy theories
Usingekuwa sahihi zaidi mkuu.Na ndio maana hiyo concept wamei-coin.Navkwa bahati mbaya Wanadamu wanaendelea kuumizwa kwa sababu ya upuuzaji huo.
 
Back
Top Bottom