Dhana ya jicho la rohoni; ina ukweli kiasi gani?

Dhana ya jicho la rohoni; ina ukweli kiasi gani?

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
529
Reaction score
1,150
Utasikia watu husema kuna watu wana jicho la tatu au macho ya rohoni; hawa huwa ni watu ambao wanaweza kumuangalia mtu na kupata hisia fulani, ikiwemo kama huyo mtu anaweza kuwa na nia mbaya au ni mtu mbaya.

Hii kitu kweli ipo? Kuna watu wa dizaini hiyo?
 
Hii kitu ipo wala haina uhusiano na mambo ya imani wala habari za sijui rohoni , huo ni ufanisi wa ubongo tu katika utendaji , hasa ukiweza kutawala mawazo yako 100% watu wa meditation watanielewa zaidi.
 
Utasikia watu husema kuna watu wana jicho la tatu au macho ya rohoni; hawa huwa ni watu ambao wanaweza kumuangalia mtu na kupata hisia fulani, ikiwemo kama huyo mtu anaweza kuwa na nia mbaya au ni mtu mbaya.

Hii kitu kweli ipo? Kuna watu wa dizaini hiyo?
Roho ni kitu gani? Maana hii misemo ya mambo ya kiroho inatumika sana na wahubiri matapeli kuibia watu. Roho ni nini? Utamsikia mhubiri asema naona katika ulimwengu wa kiroho..........blabla.....blahblah. Roho ni nini? Ni kitu kisichoonekana? Mbona vipo vingi visivyoonekana mfano upepo lakini hatuviiti ni roho?? Kabla hamjaongea kuhusu mambo ya kiroho tupeni tafsiri ya roho kwanza.
 
Hili neno kwa asilimia kubwa linatumika na matapeli, kuchukua pesa za masikini mifukoni
 
Aura Reading ukiwa Mtaalamu Sana unaweza kumjua mtu mbaya na mtu mzuri Kwa kumuona Mara ya kwanza.
 
Hili neno kwa asilimia kubwa linatumika na matapeli, kuchukua pesa za masikini mifukoni
Umesema sawa kabisa. Mhubiri mmoja nimemsikia ate naona katika ulimwengu wa kiroho malaika wamezunguka eneo hili...blabla blablah.... Yaani utapeli wa mchana kweupe!
 
Back
Top Bottom