Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Roho ni kitu gani? Maana hii misemo ya mambo ya kiroho inatumika sana na wahubiri matapeli kuibia watu. Roho ni nini? Utamsikia mhubiri asema naona katika ulimwengu wa kiroho..........blabla.....blahblah. Roho ni nini? Ni kitu kisichoonekana? Mbona vipo vingi visivyoonekana mfano upepo lakini hatuviiti ni roho?? Kabla hamjaongea kuhusu mambo ya kiroho tupeni tafsiri ya roho kwanza.Utasikia watu husema kuna watu wana jicho la tatu au macho ya rohoni; hawa huwa ni watu ambao wanaweza kumuangalia mtu na kupata hisia fulani, ikiwemo kama huyo mtu anaweza kuwa na nia mbaya au ni mtu mbaya.
Hii kitu kweli ipo? Kuna watu wa dizaini hiyo?
Umesema sawa kabisa. Mhubiri mmoja nimemsikia ate naona katika ulimwengu wa kiroho malaika wamezunguka eneo hili...blabla blablah.... Yaani utapeli wa mchana kweupe!Hili neno kwa asilimia kubwa linatumika na matapeli, kuchukua pesa za masikini mifukoni