Dhana ya kucheza kwa ajiili ya timu ni potofu kwa karne ya 21

Dhana ya kucheza kwa ajiili ya timu ni potofu kwa karne ya 21

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Salaam wakuu wote kwa umoja wenu Natumai volume iko sawa sawia kabisa hivyo naelekea kwenye mada moja kwa moja ,,
Kumekuwa na wimbi la watu kutoka vilabu mbali mbali hasa simba na man utd kutaka wachezaji wasicheze kwa ajiili ya pesa bali kwa ajili ya nembo ya timu.
Naomba kuwaambia kuwa hicho kitu hakipo kwa 100% ndani ya karne hii,Yaani mtu atoke Ureno aende akaichezee man utd kwa ajiili tu ya nembo yake?kwann? Kama angetaka kucheza kwa ajiili ya nembo nadhani angechezea timu ya kijijin kwao huko au taifa na sio timu ya nchi au mji mwingine.
Au mchezaji apande ndege toka Ghana aje simba kuichezea kwa sababu tu ya nembo? NO nakataa wote hawa wapo kwa ajiili ya pesa.kutafuta kitu kwa ajiili ya matumbo yao
Hata manara pale simba yupo kwa ajiili ya pesa,Ukisema usimlipe manara nae ataondoka tu pale ndani ya siku 2

Edwoodward nae yupo pale utd kwa sababu ya pesa sasa inakuwaje mchezaji asiwe pale kwa ajiili ya pesa eti mapenz ya timu?Kwann?
Hivyo bas ndugu zangu mpira umebadilika hivyo tukubali kusajili wachezaji wa bei kubwa na kuwalipa mishahara mikubwa ila tu na wao watupe tunachotaka ambacho ni matokeo na kiwango safi



#TNB
Nawakubali wote humu Jf
 
Back
Top Bottom