bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 468
Heri,
Nakiri kua nina yapenda sana maji kupita kiasi. Naweza kuoga hata mara 6 kwa siku. Sipendi jasho hivyo huni fanya nioge mara kwa mara.
Sasa basi kuna dhana kua " uki oga mara kwa mara hupati afya au wakati mwingine utasikia , unaoga sana ndio maana hunenepi"
Kuna uhusiano wowote wa kukonda mwili au kuto kunenepa kama sio kunawili na kuoga sana?
Si ajabu kusikia huu nao ni ugonjwa .