Dhana ya kuongeza Uume bila madhara

Josey j

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Posts
466
Reaction score
908
Kichwa cha habari chajieleza .

Katika pita pita yangu nmekutana mada zinazoeleza njia za kukuza uume bila madhara, moja ya njia hizo ni pamoja na :

- kuufanyisha mazoezi uume kwa kuupaka Jelly kisha kuuvuta kuanzia kwenye shina adi karibia na kichwa then unaachia ndipo unaanza tena , zoezi hili inabidi lifanywe angalau kwa dakika 5.

Swali, Je unazani utakapokua unafanya zoezi hilo af jelly iko pembeni utakua unawaza nini?
Acheni kutudanganya bhana hilo sio zoezi ni punyeto kabisaaa ! Yaaani upake jelly kwenye dushe af afanye zoezi kwa angalau dakika 5 utegemea nini?
 
Joseeverest ana mitihani xahv na form four wenzake
 
Kama una asili ya uume mkubwa acha kuvaa chupi itarudi hali yake! Chupi huathiri ukubwa wa uume! Rejea lile kabila la kifugaji.
 
Haaa ha ha ha ha...wee jamaa ni falaaaa sanaa!! Sasa si nyetooo hiyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…