"Dhana ya Mchumba" na maisha ya kisasa

Kuishi pamoja bila ndoa hakuna heshima, vile vile hakuna fundisho zuri mnalotoa kwa watoto wenu. Ikishindikana ndoa ya dini nafuu hata muwe na ya mila au serikali.

Ndiyo maana nikasema dada pretty kuwa nyakati zina badilika. Kinacho onekana si heshima leo kesho kina weza kuonekana kitu cha kawaida. The change of attitudes must start somewhere. Nakubaliana na wewe kuwa si fundisho zuri kwa watoto ila nyakati ziki badilika kila mtu ataona kawaida tu, it's sad but it's the way it is. In the long run liberalism usually prevails over conservatism. Kuna mambo mengi hata sasa ambayo kwangu mimi na wewe ni kawaida ila wazazi au mababu na mabibi zatu wange ona ni mambo ya ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…