nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Unapokua katika msoto wa kutafuta kazi kiutaratibu wa matoleo unapaswa kuupeleka mshahara wote baada ya malipo yako ya kwanza kama malimbuko kanisani.
Hii inakusaidia kukulinda kazini dhidi ya kutimuliwa kazi, afya, figisu, nk. Karibuni kwa wale wakuongeza nk. Hii ni kwa watu wote hata uwe nani.
Hii inakusaidia kukulinda kazini dhidi ya kutimuliwa kazi, afya, figisu, nk. Karibuni kwa wale wakuongeza nk. Hii ni kwa watu wote hata uwe nani.