wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Lets say tuna nchi yenye watu 60m. Wananchi wanaendelea kufanya shughuli zao kama kawaida. Kuna watu wanasaga mahindi kwa kutumia mawe, watu wanatumia vibatari kwa ajili ya mwanga, watu wanatumia usafiri wa punda. Kila kitu kikawa kiko slow na watu kutumia nguvu nyingi kuzalisha kutokana na ukosefu wa technolojia.
Mara, vuup, kukatokea uvumbuzi wa teknolojia nyingi, kukawa na mashime za kusaga, kukawa na umeme, kukawa na magari.
My point[emoji116]
Huwezi nambia kwamba ulivoleta technolojia kwa watu 60m itawapunguzia ajira kwa sababu robots zitafanya kazi ya mwanadamu. Sasa kama robot inafanya kazi ile ile si mwanadamu anatakiwa apumzike na afaidike na robot.
Kuna watu huwa wanapenda kutumia hii fact sana.