Dhana ya uhanithi na kukatika kwa kitovu.

Black jew

Senior Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
121
Reaction score
222
Toka nimepata akili kuna dhana tumejengewa kuwa mtoto akizaliwa ususani wa kiume ,basi shart mzazi mwangaloe kwa makin na kuwa kitovu kikikatika kisidondokee kweny uchochoro wa uboo.
Tafadhali naomba majib ya kiitalaam yaan kibailogia kitov kukatika kuna WiFi ipi anyopelekea mashine isifanye kazi????
 
Mimi sijawahi kuskia sababu za kibiolojia....
Huwa naskia kimtaani mtaani tu asee....
 
Bado wataalam hawajaja tu... et... au wapo makazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…