Dhana ya wananchi kuchukulia siasa kama sehwmu ya kiburudisho/entertainment kama movie na mpira

Dhana ya wananchi kuchukulia siasa kama sehwmu ya kiburudisho/entertainment kama movie na mpira

wazanaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
1,092
Reaction score
808
Wakuu hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii. Anaanza kuleta masihara. Kwa wamarekani weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana na politics. Ukileta conversation ya politics watu wanakua active kiasi hata cha kutaka kupigana. Kwa sababu wanafeel kinachowakabili.
Lakini kwa tanzania ukileta story ya siasa, watu hawachukulii serious, ni kuchekacheka, kuandika visentensi vifupi vya matusi na vi thoery vya kijinga, kukebehi. Mwisho wa siku kitu cha maana kinabadilika kua utani.
Lakini mtu akija na conversation inayomhusu diamond ana utajiri kuliko alikiba au simba ni bora kuliko yanga, watu wanabishana kutaka kuuana.
Hii ni nn na muarobaini wake ni nn wakuu. Kwa nn mambo yanahusu maisha yetu ya kila siku yanapuuzwa. Kwa nn tunaendekeza huu utamaduni.
 
Back
Top Bottom