dharau, dharama, harama, haramu, haram, dharma, karma....

dharau, dharama, harama, haramu, haram, dharma, karma....

xisnotx

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
69
Reaction score
21
Kitu yakuchekesha ni vile kudharau mtu ni mbaya lakini kukuwa na dharma ni kupoa? Tena kumpokea mtu karama! Nielezee jamaan!
 
du!this is your first post!!!!umeanza kwa mm kutokukuelewa unamaanisha nini!anyway your cold welcomed!!
 
Hujaeleweka mdau, hembu jaribu kunyoosha maelezo tujue tunakusaidiaje...
 
Back
Top Bottom