Dharau haziwezi kukufikisha mbali, matokeo yake utadharauliwa na kutopata msaada wowote

Dharau haziwezi kukufikisha mbali, matokeo yake utadharauliwa na kutopata msaada wowote

BenElohimy

Senior Member
Joined
Sep 21, 2021
Posts
181
Reaction score
222
Dharau haziwezi kukufikisha mbali, matokeo yake utadharauliwa na kutopata msaada wowote. Ili ufankiwe unawahitaji watu na Mungu huwatumia watu wewe uende kwenye kesho yako.

Goodmorning.
 
Dharau haziwezi kukufikisha mbali, matokeo yake utadharauliwa na kutopata msaada wowote. Ili ufankiwe unawahitaji watu na Mungu huwatumia watu wewe uende kwenye kesho yako.

Goodmorning.
Dah! Kwa hiyo baada ya usingizi kukata saa 10 alfajiri, ukawaza weeehh!! Mwisho wa siku ukaona umuanzishie uzi yule Mbulukenge aliyekuzingua jana.
 
Huu ni uoga wa maisha...na hivi ni visingizio! Tafuta hela upunguze makasiriko!
 
Back
Top Bottom