BenElohimy
Senior Member
- Sep 21, 2021
- 181
- 222
...Usingizi Umekubana...?Dharau haziwezi kukufikisha mbali, matokeo yake utadharauliwa na kutopata msaada wowote. Ili ufankiwe unawahitaji watu na Mungu huwatumia watu wewe uende kwenye kesho yako.
Goodmorning.
Dah! Kwa hiyo baada ya usingizi kukata saa 10 alfajiri, ukawaza weeehh!! Mwisho wa siku ukaona umuanzishie uzi yule Mbulukenge aliyekuzingua jana.Dharau haziwezi kukufikisha mbali, matokeo yake utadharauliwa na kutopata msaada wowote. Ili ufankiwe unawahitaji watu na Mungu huwatumia watu wewe uende kwenye kesho yako.
Goodmorning.