Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc@kajole Tapeli wewe na Mimi nitadeal na wewe mpaka nipate details zako zoote labda nisiwe sijasomea IT mimi
Alifunguliwa uzi kabisa jamaa katapeli watu nyomi tu, sema Kuna jamaa ndo akamtapeli elfu 11 jamaa akaamua kumfungulia uzi kwa kifupi jamaa kapiga pesa za watu kibao izi elfu 7 , 7 cc KajoleImekuwaje tena mkuu .. hii mara ya pili sasa nasikia hizo tuhuma kuhusu jamaa kwamba ni tapeli " amemtapeli nani aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhaaaaa.😂😂Wema na Amber Rutty wametuburudisha lakini wametuomba *msamaha* Naona Taifa stars wapo kimya mpaka leo, dharau hizi[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Aise so aliwa tapeli kwa kupitia mbinu gani !?Alifunguliwa uzi kabisa jamaa katapeli watu nyomi tu, sema Kuna jamaa ndo akamtapeli elfu 11 jamaa akaamua kumfungulia uzi kwa kifupi jamaa kapiga pesa za watu kibao izi elfu 7 , 7 cc Kajole
Wamemtumia pesa kwa huduma ya vifurushi
Okay okay "alikuwa anadai kwamba, ata wa connect na huduma hizoWamemtumia pesa kwa huduma ya vifurushi