Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Sijui wamempa nini, hajui kuwa anajishusha thamaniNdio maana kibu ameamua kuwakanda. Huyo kocha hajitambui wanchululia poa na yeye anacheka tu mpira saivi ni biashara yeye kama bado anatoa huduma aendelee tu kuwabeba wenzake
Unataka hadi walalamike? Au ungependa wakufanyie kama Kibu? Hebu jiongeze ndugu Mo.Kwani Mgunda na au * Matola* wamelalamika, au wewe ni Wakili wao hao makocha?
Weka namba nikuchangie ukale ndugu yangu.Ukute hata Hela ya ugali dagaa kwa Leo huna
Nimesoma kwa speed nikidhani angetoa kiasi husika cha kila mmoja wao ili tulinganishe, kumbe porojo za kijiweni.Wewe ni mbumbumbu unaongea vitu ambavyo hauna data ulitakiwa useme benchikha alikuwa anakunja sh ngapi na mgunda anakunja sh ngapi! Umetoka kijiwe cha boda boda unakimbilia humu kutupa taarifa, hivi unatuchukuliaje mkuu?
Fanya utafitiNimesoma kwa speed nikidhani angetoa kiasi husika cha kila mmoja wao ili tulinganishe, kumbe porojo za kijiweni.
Asipojifunza kujibrand hapa, akienda huko watamlipa laki 8Mgunda aende South au Egypt akafundishe mpira
Mkuu Tanzania michezo no ridhaa na siyo professional, ndiyo maana wanariadha wakienda kushiriki mashindano nje ya nchi wakishinda zawadi % kubwa zinaenda serikalini, Tofauti na Kenya wenzetu wao michezo siyo ridhaa, ndiyo maana hutaweza kusikia wala kuona Makocha au wachezaji wetu wakizishtaki Timu zetu Fifa.Hii ni dharau, pili mshahara wa Benchikha ulitoka kwa mmiliki wa club ya Simba yaani Mo (alisema kainunua na hajawahi kufuta kauli yake), mishahara ya Mgunda na Matola inatokana na mapato ya club, yaani ikitokea watu wamechelewesha kodi kwenye lile jengo lao, au wanachama wamesusia kulipa ada, makocha wanaingia taabuni.
Ndugu yangu Mo, Mangungu na Try Again hebu kuweni serious kidogo, hawa watu mnawaumiza kisaikolojia.
Lini uliona kocha wa Kitanzania anafundisha timu za nje? Hao ni wa hapahapa tu.Mgunda aende South au Egypt akafundishe mpira
ajabuKwani Mgunda na au * Matola* wamelalamika, au wewe ni Wakili wao hao makocha?