Pamoja na kulinda raia na mali zao, kazi nyingine ya polisi ni kushinikiza watu kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea.
Amri, sheria ama marufuku ikiwekwa na idara, taasisi ama chombo kingine chochote ni kazi ya jeshi la polisi kuhakikisha inatekelezwa.
Sasa kwann polisi hawamkamati Manara pale anapokiuka adhabu aliyopewa na TFF ??
Hivi polisi wanataka Karia ndiyo aende kumzuia Manara?
Kufanya hivi hawaoni wnaidhoofisha TFF?
Next time TFf itamfungia nani ikiwa Manara ameigomea?
Tuyaangalie matendo ya Manara kwa jicho pevu pasipo kutanguliza ushabiki. Tutauvuruga mpira wetu.