BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Ni ukatili. Mtz akiua albino haui kwa sababu anamchukia, anaua kwa sababu za kishirikina. Mtz akiua kikongwe ni kwasababu ya hofu ya uchawi.Mkuu vipi kuhusu mauaji ya Albino na vikongwe wanaotuhumiwa kwa mambo ya kishirikina huo sio ukatili? Vipi kuhusu vibaka wanaochomwa moto mitaani bila kufikishwa mahakamani,huo sio ukatili?
Hahahaa! Naona umeamua kuhamisha magoli sasa mkuu,Ni ukatili. Mtz akiua albino haui kwa sababu anamchukia, anaua kwa sababu za kishirikina. Mtz akiua kikongwe ni kwasababu ya hofu ya uchawi.
Waarabu wanakatili weusi kwasababu ya kuwachukia tu. Swala lao ni la utashi halihusiani na imani wala nini. Pia wapo wazungu wanawachukia waafrika kiutashi na wala sio kwa imani.
Dah! Hoja yako ni ipi sasa? Sitetei afrika kuua vikongwe na albino. Kuua albino ni ukatili. Ila ninachosema waarabu washenzi zaidi. Sitetei wazungu nao ni washenzi tu. Ila mwarabu ni mshenzi zaidi.Hahahaa! Naona umeamua kuhamisha magoli sasa mkuu,
Unayo evidence yeyote inayokusupport kua waarabu waliua kwa imani?
Kwa hiyo wewe tatizo lako ni mtu kuua kwa imani tu ila akiua kwa sababu zingine wewe unaona ni sahihi tu?!
Ukatili ni ukatili tu haijalishi what's behind it,
Huko US kila siku Polisi weupe wanawapiga risasi blacks ila wewe unaona poa tu! Badili hiyo mentality yako mkuu,ukatili ni ukatili tu as i said.
Wewe nilichogundua ni hater wa waarabu tu na hakuna cha ziada,sasa sijui umetumia criteria gani kua waarabu ni washenzi zaidi,nimekuomba evidence ya waarabu kuua coz ya imani kama ulivyodai ila umeishia kurudisha mpira kwa kipa tu! Uwe na siku njema mkuu.Dah! Hoja yako ni ipi sasa? Sitetei afrika kuua vikongwe na albino. Kuua albino ni ukatili. Ila ninachosema waarabu washenzi zaidi. Sitetei wazungu nao ni washenzi tu. Ila mwarabu ni mshenzi zaidi.
1957 kabla ya kuunda chama cha ASP, Mwalimu Nyerere aliwasihi sana Waarabu Zanzibar wawaruhusu Waafrika kupiga kura, walipokataa aliwaonya kuwa that was the last chance.
Usiku huohuo akaanza vikao Rahaleo Mjini Zanzibar, kuanzisha ASP akiongozana na Mtemvu katibu wa TANU, Karume akakataa Uenyekiti wa ASP akiogopa kuuliwa na alidai ana mke na watoto wadogo, Mwalimu alimuweza alipomwambia chochote kitacho kutokea basi Mimi kama tulivyoshibana niamini wanao hawatopata shida nitawachukua.
Hapo ndio mwanzo wa Mapinduzi. Silaha alizileta mwalimu toka Algeria. (Simulizi za Sheikh Ali Muhsin Bin Barwani youtube)
Ni ukatili. Mtz akiua albino haui kwa sababu anamchukia, anaua kwa sababu za kishirikina. Mtz akiua kikongwe ni kwasababu ya hofu ya uchawi.
Waarabu wanakatili weusi kwasababu ya kuwachukia tu. Swala lao ni la utashi halihusiani na imani wala nini. Pia wapo wazungu wanawachukia waafrika kiutashi na wala sio kwa imani.
Hiyo yaweza kuwa mbinu mkakakti tu tena wa muda mrefu. Tunayoyasikia siku hizi wanayotendewa watu wote wageni kule uarabuni wakiwemo Waafrika tuna kila sababu ya kusema hao ndugu bado mazingira hayajakuwa mazuri. Msiende huko amani!Naona population ya wa Africa ndani Gulf countries inaongezeka day by day. Infact ndani UAE na Oman kampuni za agency za ajira zimezuiwa kuajiri wahindi na waphilipino pekee wanatakiwa lazima wachanganye na waafrica. Na ndoman kumekua na uportunities nyingi za kikazi miaka ya karibuni. Sasa bado tunashndwa kufahamu hoja zenu zakua waarabu wanachukia waafrica.
Hiyo yaweza kuwa mbinu mkakakti tu tena wa muda mrefu. Tunayoyasikia siku hizi wanayotendewa watu wote wageni kule uarabuni wakiwemo Waafrika tuna kila sababu ya kusema hao ndugu bado mazingira hayajakuwa mazuri. Msiende huko amani!
Kuishi kwa kubeba propaganda kichwani ni tatizo sugu kweli linalotusumbua wa Tanzania.
chuki zilizojaa ndani ya mioyo yenu dhidi ya waarabu ni za ajabu kabisa. Napale ukiulizwa nini hasa walichokufanya unaanza kubabaika kuleta stori zisokichwa wala miguu.
Hili si kwa Tanzania tu ! Nchi zote hali ya usalama ikiwa hatarini watawala huwaonya raia wake wajiepushe kwenda maeneo hayo. Sio chuki bali ni ukweli. Historia itawatesa sana wahusika kwa matendo yao ya kale na ya wakati wetu. Kibaya zaidi ya sasa yanafanyika katika ulimwengu uliostaarabika. Kwa yale yaliyotokea Libya mzazi gani ataruhusu kijana wake aende huko? Hayo yanayotokea kila mara pasipo ukoma huko Mashariki ya kati, mzazi gani ataruhusu mabinti zake waende eti kutafuta kazi.
Ufilipino wamepiga marufuku mpango wa ajira n'gambo kwa sababu kama hizo. sasa wewe ndugu kama unaona hao wahusika hawatendewi haki naomba uwaeleze jinsi wanavyoeleweka huko nje ya kwao watengeneze mambo. Wajirekebishe kwani ugumu upo wapi? Tunataka kusikia mamlaka za huko zinalinda usalama wa raia wa kigeni. Zinawatafutia haki wageni wenye kupatwa na madhara kama hayo. Sisi tukiwazuia mabinti zetu na vijana wetu wasiende huko usitulaumu. Tunakuwa tumechagua kilicho katika uwezo wetu. Usitulazimishe tuite koleo, kijiko kikubwa. Waambie watengeneze mazingira yawe mazuri. Mwenye chake muungwana. Sisi tukiamua kubaki nchini mwetu ipo shida gani? Acha bwana!!!
Hujakatazwa kuzuia mtu wako kwenda, Lakini wenzio ndio wanakwenda hakuna alielazimishwa kwenda. Tatizo ni kumchukia mtu bila ya sababu ya msingi.
Wabaguzi popote walipo wakiacha tabia zao za kibaguzi na dharau zao watu watawapenda. Akiwa rangi
Kukataa kwenda sio chuki bali ni kujisalimisha pasipo gharama.
Hatuko humu kushtaki watu. Tunazungumzia habari za wazi juu ya mwenendo huo. Hayo yanasikika na kuandikwa na si kwa upande mmoja wa Ulimwengu bali duniani kwingi. Yamesemwa ya Uarabuni kwa sababu hoja zililengwa huko. Mifano inayotuhusu mingi tu tunayo lakini hatuko humu kushtaki watu. Mingine si ya huko unakozungumzia.Je wewe walikubagua? au unae jamaa yako aliebaguliwa?
Hatuko humu kushtaki watu. Tunazungumzia habari za wazi juu ya mwenendo huo. Hayo yanasikika na kuandikwa na si kwa upande mmoja wa Ulimwengu bali duniani kwingi. Yamesemwa ya Uarabuni kwa sababu hoja zililengwa huko. Mifano inayotuhusu mingi tu tunayo lakini hatuko humu kushtaki watu. Mingine si ya huko unakozungumzia.
Sasa mjomba kwann usiungane na wakenya, wacongo na waganda km kwelii hutak kutengana na watu weusi
Wanzanzibari Waafrika (wazanzibari weusi) wote ni ndugu zangu wa damu
Kamwe sitakubali kutengwa nao (kwa kuvunja muungano)
Weka hiyo YouTube link nimeitafuta sana.
Usiseme dharau, sema kuwafanya watumwa, kuwabaka mama, mababa, watoto wadogo wawe wa kike au kiume, kuwauwa na kuwazika chini ya majengo, sasa linganisha na fadhila za vinyago..