mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
KenGold walitaka saini ya Benard Morrison, jamaa akawapa sharti moja, lazima wamsajili na mdogo wake ambaye hajawahi kucheza Ligi Kuu na hawezi hata kupiga danadana tano.
KenGold nao wameingia kwenye mfumo kwa kukubali hilo sharti.
Morrison na nduguye wamekenua meno na kutudharau Watanzania.
KenGold nao wameingia kwenye mfumo kwa kukubali hilo sharti.
Morrison na nduguye wamekenua meno na kutudharau Watanzania.