Soka la bongo hatariSoka la bongo ni matatizo makubwa, nina jamaa yangu alienda kule kwa kuwa hakuwa na connection ya kutosha akapigwa chini, kibaya zaidi kocha alietimuliwa alimuona akashauri asajiliwe, ila alipotimuliwa akaletwa mzungu, wakazuia jamaa asipate nafasi ya kufanya mazoezi na mzungu ili amuone, matokeo yake ndio hayo, wamemsajili mdogo wa BM3, wamemsajili erick kabamba ambae last time nilipata nafasi ya kucheza nae jamaa hana kabisa fitness, ana muda mrefu hajacheza, mbaya zaidi hata kudrible against 1 defender hawezi kumpita, na huyi kasajiliwa bila hata ya majaribio.
Sijui kama tajiri Kenneth anajua yanayoendelea.
Ni zaidi ya hatari.Soka la bongo hatari
Sasa jiulize hawa wamemsajili kwa kipi, maana yule wakala aliona humu hakuna mchezaji kabisa.Ndo maana alitapeliwa.
Na matokeo watayaona wao wenyewe.Mimi nadhani mambo yao waachieni wenyewe. Usajili wamefanya wao wenyewe! Mishahara watawalipa wao wenyewe!
Na sioni kama kuna sababu ya mtu baki kulaumu, kulalamika, au kunung'unika. Unless otherwise kama kuna conflicts of interest.
Mchezaji kukataliwa na timu moja sio sababu ya kukataliwa na timu nyingine tuna mfano wa wachezaji wengi tu ambao walikataliwa wakaenda ku shine huko kwingine kwanini msisubiri acheze tumuoneSasa jiulize hawa wamemsajili kwa kipi, maana yule wakala aliona humu hakuna mchezaji kabisa.
Bongo tajiri inabid uwe front sana aiseee,Soka la bongo ni matatizo makubwa, nina jamaa yangu alienda kule kwa kuwa hakuwa na connection ya kutosha akapigwa chini, kibaya zaidi kocha alietimuliwa alimuona akashauri asajiliwe, ila alipotimuliwa akaletwa mzungu, wakazuia jamaa asipate nafasi ya kufanya mazoezi na mzungu ili amuone, matokeo yake ndio hayo, wamemsajili mdogo wa BM3, wamemsajili erick kabamba ambae last time nilipata nafasi ya kucheza nae jamaa hana kabisa fitness, ana muda mrefu hajacheza, mbaya zaidi hata kudrible against 1 defender hawezi kumpita, na huyi kasajiliwa bila hata ya majaribio.
Sijui kama tajiri Kenneth anajua yanayoendelea.
Kabisa watu hawaonei huruma pesa yako unayowekeza, wao wanakuona ng'ombe kabisa ni haki yako kukamuliwa maziwa.Bongo tajiri inabid uwe front sana aiseee,
Ila hilo la Morrison na mdogo ake ni upuuzi sana
Ngoja tuone.Mchezaji kukataliwa na timu moja sio sababu ya kukataliwa na timu nyingine tuna mfano wa wachezaji wengi tu ambao walikataliwa wakaenda ku shine huko kwingine kwanini msisubiri acheze tumuone
Ni Biashara hiyo we Hujui,shida ya Kengold ilikua ni Morison sio mdogo wake,so ametengeneza packageKengold walitaka saini ya Benard Morrison, jamaa akawapa sharti moja, lazima wamsajili na mdogo wake ambaye hajawahi kucheza ligi kuu na hawezi hata kupiga danadana tano
KenGold nao wameingia kwenye mfumo kwa kukubali hilo sharti.
Morrison na nduguye wamekenua meno na kutudharau watanzania.
View: https://m.tiktok.com/v/7458199334954355974.html?preview_pb=0&sharer_language=en&_d=eg6c9ida8i98a1&share_item_id=7458199334954355974&source=h5_m&u_code=ea8kkhg79749ge&utm_source=copy&utm_campaign=client_share&share_link_id=dcf212b9-3f99-448e-a3e4-5ac3ed82436c&share_app_id=1340&ugbiz_name=Main&lang=en&user_id=7284143729631708165&sec_user_id=MS4wLjABAAAAyFpOm3vtJhTC3751dQSa8-b0aGs4oDMI736Tpddju8xkj00zPQJLFX9l199-vhjh This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok