Dharau za Hamisa Mobeto kwa Manara

Harmonize anasemaje kuhusu hii kitu?
 
Sijui nani aliwaambia kuvaa nguo nyeusi msibani ndiyo hgffkiu
 
Kauli mbaya sana hii. Acha ubaguzi.
 
Kauli mbaya sana hii. Acha ubaguz
Huyu zeruzeru alishawahi kucheza kandanda level ya taifa au anabebwa tu na jina la babake? Enzi za utoto tulikuwa tunakimbia na kujificha zeruzeru akipita mtaani na kuzua tafrani. Lakini Wazungu tuliwafuata na kuwasabahi "good morning" tena kwa kujipendekeza na vocabulary yote ya Kiingereza tuliyokuwa nayo kwa umri ule.
 
Ndugu we ishia hapa mungu fundi.
 
Je kama kweli ananuka mdomo?. Au ksbb ni manara tuendelee kuvumilia?
 
Haji Manara kama ameshindwa aseme asaidiwe.
 
Point yako ni nini?
 
Atakubalije wakati yupo katikati ya bahari na mapapa ni wengi, huyo Manara alikua kama sato wa 5kg tu, Hamisa aliona atamtia gundu si unajua hakoseagi.
 
Huko Dubai kuna nini maana nasikia kabwili nae kaenda huko
 
Umezingua mbaguzi mkubwa wew... hujafa haujaumbika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…