Dharau zao hawa watu wa mikoani, na vijijini ni mbaya sana!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Eti wanatudharau wanaume wa mjini atuna nguvu za kiume...mbona madada zao wakija kufanya kazi huku mjini, tunawapaga mimba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
 
Wanaume wa dar bhana [emoji30] [emoji30] [emoji30] shenzy kabisa!!!
 
Wanaume wa dar kwa kulalamika!!!!
Hatuna[emoji818]
atuna[emoji777]
 
[emoji917] kuna mtoto wa mabruk yule mwenye Yale magari namfuatilia siku akiingia king simuachi salama mpaka nimpe ujawepesi .
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eti wanatudharau wanaume wa mjini atuna nguvu za kiume...mbona madada zao wakija kufanya kazi huku mjini, tunawapaga mimba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
Kapime DNA kama hutozimia.
 
Jana kuna sehem nliona habari huko mbeya jamaa kawauzia watu dawa za nguvu za kiume matokeo yake wameharisha mpk wamelazwa hsptl nikasema huko mikoani tatizo la nguvu ni kubwa sana
 
Na Mimi niliisoma ile habari Mkuu! Nikabaki nashangaa tu
 
Jana kuna sehem nliona habari huko mbeya jamaa kawauzia watu dawa za nguvu za kiume matokeo yake wameharisha mpk wamelazwa hsptl nikasema huko mikoani tatizo la nguvu ni kubwa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…