Dharau zenu zitawaponza

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Kitendo cha mashabiki, wachambuzi na wajinga fulani kuidharau Simba eti haiwezi kufua dafu mbele ya Wydad kitawaponza na hamtoamini!

Pia, kitendo cha mashabiki na wapenzi wa Young Africans kuidharau timu ya Rivers United kitakuja kuwaponza na hamtoamini.

Hizi dharau toka pande mbili za watani wa jadi zitawaponza, kuna ambao watafurahi na kuna ambao watalia.

Anyways, haijaisha mpaka iishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…