Dharura! Kuna mlipuko mkubwa wa wadada kuota sharubu ma ndevu

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kumetokea mlipuko wa ghafla sana wa wanawake kuota sharubu kwenye mashavu na ndevu jijini Dar.

Hali hii tuliizoea kwa wamama waliosogea umri, hasa 50’s na kuendela. Ila sasa inatokea kwa wadada wadogo tu.

Wizara ya afya, mmeanza kuchanganyia wadada homoni za testerone kwenye vidonge vya uzazi wa mpango?! Tumefika huko?!
 
Inawezekana ni sababu ya vyakula na vinywaji feki pamoja na vipodozi vya mchongo
 
Kumetokea mlipuko wa ghafla sana wa wanawake kuota sharubu kwenye mashavu na ndevu jijini Dar.

Hali hii tuliizoea kwa wamama waliosogea umri, hasa 50’s na kuendela. Ila sasa inatokea kwa wadada wadogo tu.

Wizara ya afya, mmeanza kuchanganyia wadada homoni za testerone kwenye vidonge vya uzazi wa mpango?! Tumefika huko?!
Kuna tube za kujichubua zinaleta mpaka sharubu nahisi wizara ya afya wangezifungia maana ni hatari😀😀
 
Back
Top Bottom