FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Makange+ Bia + shisha + kujichubuaUnamaanisha wadada wa dar,
Mashavu Yao yako Kama ya paka?[emoji848]
Inawezekana ni sababu ya vyakula na vinywaji feki pamoja na vipodozi vya mchongoKumetokea mlipuko wa ghafla sana wa wanawake kuota sharubu kwenye mashavu na ndevu jijini Dar.
Hali hii tuliizoea kwa wamama waliosogea umri, hasa 50’s na kuendela. Ila sasa inatokea kwa wadada wadogo tu.
Wizara ya afya, mmeanza kuchanganyia wadada homoni za testerone kwenye vidonge vya uzazi wa mpango?! Tumefika huko?!
Ha ha ha....hiyo combination Ni hatari[emoji4]Makange+ Bia + shisha + kujichubua
Bro, naanzaje kuwapiga picha sasa?Mimi nasubiria tu kuona picha zao.
Kuna tube za kujichubua zinaleta mpaka sharubu nahisi wizara ya afya wangezifungia maana ni hatari😀😀Kumetokea mlipuko wa ghafla sana wa wanawake kuota sharubu kwenye mashavu na ndevu jijini Dar.