Dhibiti hisia zako unapokutana na taarifa yoyote ili ufanya maamuzi sahihi wakati wa kutafuta uhalisia wake

JamiiCheck

Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
98
Reaction score
122
Dah siku moja nimebeba chuma ya moto, nikiwa home kuangalia nilipo weka issue yangu holaa, Kumuuliza binti wa kazi anaanza kuchekacheka, Nikahisi ni yeye, Dah nilimkwida badae nikawa nomal then naona miguu yake inatetemeka nikaanza kukaweka sawa, Kuongozwa na hisia Ni Uchawi.
 
🤣🤣ikawaje au alijua unaleta mapenzi
 
😀😀😀 eti kuongozwa na hisia ni uchawi.
 
Mbona mods wenu hawatulizi wala kutumia akili kufanya maamuzi sahihi ya kupiga watu ban??
 
Kuna mnene mmoja alikua anapenda kusema....
Think by your mind and not by heart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…