Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Muulize Masanilo mzee wa tiGO atakuwa anajua jelly hioWadau nahitaji kujua. kondom ina mafuta yake lakini inafika wakati wa "tendo" hayo mafuta yanakauka kabisa na inakuwa hatarishi kwa pande zote. ukitumia petroleum jelly (mafuta ya mgando), kondom inachanika vibaya sana! wanasema mafuta mazuri ya kutumia juu ya kondom ni ya maji na yasiyo na petroleum. sasa ni mafuta gani hayo na yanapatikana wapi?
Muulize Masanilo mzee wa tiGO atakuwa anajua jelly hio
kwikwikwikwi mziwanda uanmsoma Masa?Oyaaa kama uko nje ya bongo tafuta Astroglide Liquid ama K-Y Jelly sawa mazee!
Hata chumvi ni chemical mzee, ili mradi zisiwe na madhara kwa binadamu.kwikwikwikwi mziwanda uanmsoma Masa?
mie sijui lakini hizi jelly haziwezi kufanya uke kuharibika what i know zina chemicals