Habarini Wapendwa.natumai mnaendelea vyema...
Leo mekuja na habari Nzur kwa watanzania wanaosafirisha au wenye mpango wa kusafirisha mizigo Yao ndani na nje ya Tanzania- kwa haraka na usalama zaid. Dhl,inapenda kukutangazia kuwa kwa sasa wamefungua office nyingine mikocheni- Coca-Cola road at Majembe Auction Mart.hivyo hamna haja ya kwenda hadi city center au airport kwa ajili ya kutuma mzigo.
Kama kuna swali lolote usisite kuniuliza.
Karib sana