DHL Ruvuma wapo?

DHL Ruvuma wapo?

Reghia

Senior Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
126
Reaction score
113
Habari za saa wajasiriamali wenzangu. Naomba kujua kama Dhl wana agent Ruvuma -songea.
Na kama hawapo ntaupataje mzigo wangu kwani kuna mzigo inabd nitumiwe toka nje na anataka kunitumia kupitia Dhl na nimempa adress ya huku niliko yaan Songea!

Tafadhari msaada wenu wadau!
 
DHL wapo kila mkoa hapa Tanzania mkuu....unaweza kutuma na kupokea mizigo na nyaraka popote ulipo.....
 
Habari za saa wajasiriamali wenzangu. Naomba kujua kama Dhl wana agent Ruvuma -songea.
Na kama hawapo ntaupataje mzigo wangu kwani kuna mzigo inabd nitumiwe toka nje na anataka kunitumia kupitia Dhl na nimempa adress ya huku niliko yaan Songea!

Tafadhari msaada wenu wadau!
Nenda posta watakupa maelekezo
 
Habari za saa wajasiriamali wenzangu. Naomba kujua kama Dhl wana agent Ruvuma -songea.
Na kama hawapo ntaupataje mzigo wangu kwani kuna mzigo inabd nitumiwe toka nje na anataka kunitumia kupitia Dhl na nimempa adress ya huku niliko yaan Songea!

Tafadhari msaada wenu wadau!
OI ULIFANIKIWA?
 
Back
Top Bottom