DHL Tanzania

Incredible

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,031
Reaction score
1,603
Nilikuwa na mzigo pale DHL lakini tumefuatilia mpaka tumeona bora tuuache wachukue wao. Je kuna wadau wengine mmekutana na usumbufu mkubwa namna hii pale DHL Dar?
 
Next time tumia ARAMEX wapo faster hawana upuuzi kama DHL hasa wale waendesha pikipiki mzigo wa 60,000/= anakuambia 130,000/= na hakupi risiti
 
ungeeleza nini kimekwamisha!

Kwenye mtandao mzigo unaonekana umefika Dar lakini wao kila kukicha wanasema subiri tutakupigia. Isitoshe hata hilo jibu la tutakupigia haulipati kwa ustaarabu. Kuna poor customer service
 
Kwenye mtandao mzigo unaonekana umefika Dar lakini wao kila kukicha wanasema subiri tutakupigia. Isitoshe hata hilo jibu la tutakupigia haulipati kwa ustaarabu. Kuna poor customer service

Wajinga sana hao jamaa..i had the same experience nao lakini nashukuru kupiga piga simu kuulizia kahahasha kangu toka be forward nikaopoa bonge la demu ..wakati nasubiri mzigo iwe cleared tukawa tunapakazana gundi pale transit lodge na sasa vichefuchefu vimemzidi tunasubiri offspring F1 generation
 
DHL wameshakuwa kama posta tu siku hizi. Kuna kampuni nyingi tu, mimi natumia Send Well. Google utawapata, cheap and very convenient. Wananisaidia pia delivery kwenye biashara kufikia loyal customers.
 
Kwenye mtandao mzigo unaonekana umefika Dar lakini wao kila kukicha wanasema subiri tutakupigia. Isitoshe hata hilo jibu la tutakupigia haulipati kwa ustaarabu. Kuna poor customer service

nakushauri uwasilishe malalamiko hq.
 
we jamaa ni kwere
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] offspring felial one generation
 
mm nataka kuagiza vitu online eti naenda posta wananiambia wanataka nifungue sanduku langu la posta na ni sh 30000
 
Ila dhl nmewatumia mwaka Jana mwishoni walifikisha tu vizuri,labda ni aina ya mizigo ndo wanaifanyia wizi.labda mingine wanaona haina haja ya kuiiba,mfano madocument.
 
Nilikuwa na mzigo pale DHL lakini tumefuatilia mpaka tumeona bora tuuache wachukue wao. Je kuna wadau wengine mmekutana na usumbufu mkubwa namna hii pale DHL Dar?
ungeweka bayana mzigo gani na unakwama kwa sababu zipi na je una tracking number ,umetoa taarifa kwa meneja mwakilishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…