Dhuluma mlizomfanyia Mbowe ipo siku zitawarudia. Hakuna aliyewahi mgusa Mbowe akabaki salama

Usimlilie Mbowe, ililie nchi yako Tanzania.

Mbowe ni chachu, ni sehemu ya kuitakasa nchi yetu iondokane na hizi najisi zilizojitokeza katika hii miaka ya hivi karibuni.

Mbowe atakuwa salama, na alama za uwepo wake katika taifa hili itakuwepo daima.
 
Ninachokijua Ni kuwa waliomtengenezea Mbowe kesi ndio kwanza hawana Amani...
 
Chembechembe za yule mwovu joka kuu kuziondoa kwenye system itachukua muda sana. Bado watesi wenye roho za kishetani ambao ndo alipenda sana kuwatumia kwa manufaa yake wamo na ndo wanaendelea kutesa watu itachukua muda kuusafisha nchii hii. Sasa kwa hali hii fikiria angekaa miaka kumi hali ingekuwaje? Kristi....Tumaini Letu.
 
Silo badala ya kumkamata makonda ambae hata USA Wana ushahidi wa kuwanyima watu haki ya kuishi eti anamkamata mbowe kwa ushahidi wa kuokoteza
USA ndio inaongoza Tanzania ? Hauko serious.
 
Tatizo mnapiga kelele sana yie wapenzi wa CDM! Acheni kejeli zenu katika mwenendo wa kesi. Hii iwe ni funzo kwenu na fuatilia kimya kimya ati PGO, Kiangi, mtoto wa Mahita! Acheni
 
Ndio Maana alimuondoa yule dhalimu na hawa atawaadhibu tu

unajisahaulisha kwamba adui yenu ni ccm,unajifanya ni dhamu.

nyinyi watu akili hamna hata moja.na mtaendelea kufirigiswa mpaka mkome.
 
Hao wwnye madaraka wanadhan watakuwa viongozi milele ipo siku zamu yao itafika pia malipo hapa hapa dunian
 
Nakumbuka zamani zile, vilio vya wana wa nchi vilipoanza kusikika kila kona ya nchi. Maombi ya "one term President" yaliaanza kusikika. Wenye maono kama akina Lema wakaonyeshwa poromoko la mtawala mkuu hadi mautini.

Mara paa! Maombi yao yakapata kusikilizwa. Sasa ni majira mengine. Hatutegemei kuanza kuyasikia maombi ya namna eti kwa sababu tu ya kiburi cha uzima cha watawala wa sasa.
 
Mtasema yote mda bado
 

kunajamaa alijaribu kushindana dakika za mwisho meza ikapinduliwa much 17
 
Unadhani wewe meza haitapinduliwa?
Kufa ni suala la mda tu,uwe unatenda mema au mabaya. Tumia akili yako kuwaza vema.

Sasa kama kila mtu atakufa ni nini kilichokuwa kinamfanya awinde roho za wenzie usiku na mchana alijuwa ataishi milele
 
Kujifariji ni jambo jema
 
Sasa kama kila mtu atakufa ni nini kilichokuwa kinamfanya awinde roho za wenzie usiku na mchana alijuwa ataishi milele
Hapo ulipo nadhani hujawahi kuwa hata monotor darasani.
Siku ukiwa kiongozi hata wa nyumba kumi.
Urudi hapa uje unipe mrejesho mkuu,kuongoza siyo mchezo mbona hamzungumzi issue ya akina dk Ulimboka kung'olewa makucha kipindi kile.
Hakuna taasisi isiyo chukua maamzi ya kuwapoteza baadhi ya watu,iwe ya dini,serikali,ama katka taasisi yoyote ambayo inainterest na kitu flani.
Hauta nielewa kwakuwa nimetaja taasisi za dini,lakini ukweli ndo huo.
Hakuna serikali isiyo ya fanya hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…