Dhuluma na Ujanja Ujanja

Dhuluma na Ujanja Ujanja

Nimepigika

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
9
Reaction score
4
Takribani miezi minne sasa wahitimu wa tumaini university iringa wamemaliza chuo lakini cha kushangaza ela yao ya tahadhari hawajarudishiwa hadi leo ambayo ni shilingi elfu 50 kwa kila mmoja...huu ni muendelezo wa urasimu wenye nia ya kuwapoteza maboya na hatimaye ela izo kupigwa na wajanja...utawala bado hawana majibu ya kuridhisha juu ya hili...hali hii ya urasimu kwenye ela za watu tunaikemea...walipeni ela zao kwa wakati nasio kuwaletea kiswahili kwakuwa hawako chuoni.
 
Back
Top Bottom