Dhuluma ya tozo za simu

Dhuluma ya tozo za simu

mbegubora29

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
513
Reaction score
338
Habari za asubuhi! Wana Jamii members!

Kwanza nikiri mie sio mwanachama wa chama chochote na sitarajii kuwa nacho ila nami natumia fursa ya katiba kila mmoja ana Uhuru wa kutoa maoni juu ya muktadha wa Taifa.

Malipizi yoyote bila makubaliano ni dhuluma hivyo kwa yeyote atakayeweza kukwepa akwepe hkn dhambi mbele ya mola wake.

Lakinui kwa dunian dhuluma zipo nyingi na zingine zinavuka mpaka ubinadam hivyo nawasihi tutumie lugha ya staa kumueleza mh. Raisi dhuluma tumeshindwa kuvumilia bila matusi Wala kebehi na Wala dhuluma hii haitatolewa na katiba mpya Kama baadhi ya wanaharakati wanavyodai.

Mh rais ni kiongoz aliwapa madaraka na anawaamini vijana lkn inaweza tokea baadhi wakamuangusha Hilo so geni kwenye serkal yoyote ila kwahy tusipanic tumsubir arudi na tusikilize huruma kwa watu maskin!
 
Back
Top Bottom