Hapana mkuu yaani hiyo Kepler sio kwamba imefika kwenye huo umbali, isipokuwa yenyewe inazunguka jua kwa siku 370 orbit yake iko mbali kidogo na ya dunia, halafu solar array zake zimeelekezwa zifocus kwenye jua ili kupata radiation ya kutosha, sasa kuhusu telescope yenyewe ni kwamba Ina megapixel kubwa na hata utumwaji wa data ulibidi ufanyiwe compression ili kupunguza ukubwa na iwe ya haraka, kipindi ikiizunguka jua ile telescope imekuwa ikielekezwa kwenye field of focus halafu yenyewe IPO very sensitive to wavelength, sasa NASA iliamua kuziignore zile nyota ambazo zinang'aa Sana kwa sababu zenyewe zinafanya urahisi wa kudetect beams ambazo zinatoka kwenye sayari zenye ukubwa Kama wa jupita hili halikuwa lengo, wao walikuwa wanataka sayari zenye uzito mdogo ambazo zipo kwenye habitable zone kutoka center ya galaxy tuliyopo. Uwezekano wa kuwepo maisha kwenye solar system yetu hii kwa sayari nyingi haupo isipokuwa mars na baadhi ya miezi katika Jupiter ndo maana wanaendelea na tafiti zinaendelea, na pia wanajaribu kuangalia hizo exoplanet, kwenye sayansi yote yanawezekana maisha ya kawapo ama yasiwepo nje ya dunia inategemea tu na majibu ya hizo observations na experiments kwa hiyo maswali hayo unayojiuliza ndio yanayofanya wenzetu waangaike na hayo matafiti. usiku kucha.