Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Japo watakasirika lakini hamna jinsi,huu ndio ukweli japo wenyewe wanajinasibu kuwa vyama mbadala kushika dola lakini kiuhalisia wote akili yao ni kila chama kinataka kuwa chama kikuu cha upinzani na Mbowe na Zitto kila mmoja anataka kuwa KUB na lengo lao kuu ni kuongeza ruzuku
Kwa sasa Lissu na Membe wanatumika kama "midoli" kuvutia watu kupigia kura CHADEMA na ACT-Wazalendo na baada ya uchaguzi hawatakuwa "relevant" na siasa za Tanzania kwani kiu ya Membe kugombea urais itakuwa imeisha huku mahusiano ya Mbowe na Lissu yakiingia shubiri sababu ya ruzuku na madaraka ndani ya chama mambo ambayo yatasababisha Tundu Lissu kurejea ughaibuni kuganga njaa