Dhumuni la spaceX lilikuwa mfano kama ulitaka kupika pilau ukaishia kupika wali

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
SpaceX mara ya kwanza walikuwa na madhumuni ya vyombo vyao vitakuwa vikifanya safari ya kwenda sayari ya marsi.

Ila kwa pesa walizoweka na mikopo jamaa kaona kwanza huduma za kutumia vyombo vyake itakuwa inaweza kutoka nchi moja kwenda nyengine kwa mda mfupi.Yani unatoka mchana baada ya dakika 50 ushafika nchi nyengine ambayo hipo usiku.

 
Uzi tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…