Jaxx Senior Member Joined Mar 22, 2011 Posts 129 Reaction score 28 Mar 23, 2011 #1 Wadau hebu niambieni vp zile kazi za January za Serengeti Breweries wameshaita watu kwenye interview au ajira?
Wadau hebu niambieni vp zile kazi za January za Serengeti Breweries wameshaita watu kwenye interview au ajira?
Mshiiri JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 2,012 Reaction score 512 Mar 26, 2011 #2 Wazushi hawa
Jaxx Senior Member Joined Mar 22, 2011 Posts 129 Reaction score 28 Mar 27, 2011 Thread starter #3 Maana mimi nashangaa kimya mpaka leo....au ndo vile?
Jaxx Senior Member Joined Mar 22, 2011 Posts 129 Reaction score 28 Apr 6, 2011 Thread starter #4 Wadau mnipe data tafadhali
luckyperc JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 495 Reaction score 46 Apr 6, 2011 #5 Mkuu umenish2a kwel! Nilijua wametangaza new post kwa maelezo ya kichwa habari, kumbe na ww unauliza weka heading vizuri.
Mkuu umenish2a kwel! Nilijua wametangaza new post kwa maelezo ya kichwa habari, kumbe na ww unauliza weka heading vizuri.