Brainze11 Senior Member Joined Sep 2, 2012 Posts 173 Reaction score 56 May 20, 2017 #1 Jipatie diagnostic machine ndogo kwa ajili ya kupimia magari, Bei: Tsh 500000 Tunapatikana mbezi tangi bovu Mawasiliano: 0714704097
Jipatie diagnostic machine ndogo kwa ajili ya kupimia magari, Bei: Tsh 500000 Tunapatikana mbezi tangi bovu Mawasiliano: 0714704097
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,209 May 21, 2017 #2 Hapo hujamaliza mkuu jazia nyama za kutosha kwenye habari yako. Mashine inasifa gani inapima gari ngapi inapima systerm ngapi. Engine,transmission,abs,airbag etc?.
Hapo hujamaliza mkuu jazia nyama za kutosha kwenye habari yako. Mashine inasifa gani inapima gari ngapi inapima systerm ngapi. Engine,transmission,abs,airbag etc?.
spea mkononi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2015 Posts 345 Reaction score 324 May 24, 2017 #3 kula 200k mkuu
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,248 May 25, 2017 #4 Tangazo halijakaa sawa vinginevyo tutakuona kama tapeli. Weka tangazo kisomi bwana mjini hapa sio kila mtu ndezi
Tangazo halijakaa sawa vinginevyo tutakuona kama tapeli. Weka tangazo kisomi bwana mjini hapa sio kila mtu ndezi