Diagnostic machine

Brainze11

Senior Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
173
Reaction score
56
Jipatie diagnostic machine ndogo kwa ajili ya kupimia magari,
Bei: Tsh 500000
Tunapatikana mbezi tangi bovu
Mawasiliano: 0714704097
 
Hapo hujamaliza mkuu jazia nyama za kutosha kwenye habari yako.
Mashine inasifa gani inapima gari ngapi inapima systerm ngapi.

Engine,transmission,abs,airbag etc?.
 
Tangazo halijakaa sawa vinginevyo tutakuona kama tapeli.
Weka tangazo kisomi bwana mjini hapa sio kila mtu ndezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…