Habari za mda huu ndugu zangu
Ningependa kufahamu kwa anaye fahamu au anyejua kufanya shipping ya diagnostic machine kutoka nnje model mwaka 2022-2023
Naomba anisaidie au kama kuna mtu anafanya biashara hiyo kwa hapa bongo naomba mnifahamishe kwa anaye jua asanteni