Diallo TV na Ulokole kwenye sherehe ya mwaka mpya

Naona hujui nini maaana ya biashsra huru. kama star TV ilikuboa ishia
 
Wewe huoni kuwa kila mtu anakushambulia, hata aliyekimbia Star Tv ni wewe tu siku hiyo.Umesema kweli kuwa siku ya mwaka mpya ni ya kila mtu. Wa ngwasuma TVT, walokole Star TV na ATN,waliotaka kuona wazungu na vituko vyao waliangalia CNN,BBC...
 
na wenye kupenda picha za ngono wakaweka dvd zao,,sio lazima waanaglie tv,
iku njema joel
 
Hapo kila mtu na mtizamo wake ukiona hufurahishwi napo angalia na pande nyingine
 

Kwa hiyo ktk kusheherekea mwaka mpya ulitaka tupige mizinga 21 na kupata hptuba za kisiasa kutoka kwa wanasiasa wachovu wa bongo?

Ndugu yangu unapotoka sana maana uhuru wa kuabudu tuliopewa kikatiba naona unaanza kuuingilia kinyume na maumbile.
 
1. Biashara ni kutafuta faida! sasa kama watu wa dini wanaleta pesa sikuu ya tar. 31 Dec je nikatae??

2. Hii siyo TVT ni binafsi!
 
Sasa tukianza kusema hivi vyote tukumbuke TVT ilivyoonesha siku ya Krismasi kuzaliwa kwa Kristo basing on Islamic percetion. Why they did that i am yet to understand.

If the same thing would have been done to Muslims, i think by now we would still be answering.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…