Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Diamond kaingia kwenye mchakato wa kuwania tuzo kubwa duniani za BET.

KATIKA CATEGORY YA Best International Act: Africa category, artists Davido (Nigeria), Diamond Platnumz (Tanzania), Mafikizolo (South Africa), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) and Toofan (Togo)

Maelezo zaidi nitaendelea kuwapatia.
Hongera my boss,hongera my wcb president.
 
Ila kwa mafiki zoro hachomoki wala nini. Sema kufika huko napo ni hatua nzuri. Big up
 
Best International Act: Africa
Davido (Nigeria)
Diamond Platnumz (Tannzania)
Mafikizolo (South Africa)
Sarkodie (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Toofan (Togo)

Kwa hapa ni Asante kwa kutajwa.....
 
mapusha wana mtandao mkubwa!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Kuwa mentioned tu pande hizo ni heshima,hongera Diamond,naupenda muziki wako,but huwa siridhishwi na tabia zenu za kubadilidha wanawake pamoja na kuvaa milegezo,but big up sana!!
 
Big up sana. Jamani punguzeni chuki duu! Kubalini tuu huyu jamaa anaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…