Lazima waukaalieeee wenye roho za koroshooooooi
Lazima waukaalieeee wenye roho za koroshooooooi
Kuna watu wenye roho mbaya kulalek wangekuwa wagawa riziki tungekoma
Kikubwa ni kumpa support ya kura no matter what
Kwenye kura tunapigaa, kwenye kujadilii ubaya tunajadiliii wangekua wagawa riziki tungekufaaaaaaa
DIAMOND OYEEEEEEEEEEEEEE
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Watajibeba
Kura tuu MTU anaona its big deal au wanataka buku 7 hawa
Penda mziki wake tabia yake haikuhusu
Atuelekeze tupige sieeee mtanzania mwenzetu hapa tunatakiwa tuwe wamojaaaa
na alitakiwa aoneshe pale juu labda muda wa kuanza kupiga kura bado
dah! unanikumbusha hiî, enzi hizo wényewe tunajidanganya kwamba TZ inafahamika ile mbaya duniani... hadi wakati mwingine unalazimika kuitaja Kenya baada ya kuitaja Kilimanjaro bila mafanikio!!
unafikiri hata mimi ilikuwa rahis kuitaja, sema ndo hivyo tena nikaona potelea mbali!!!!Kenya mbona tumeitumia sana kueleza tutokako....ila hapa nilimezea kuna kina mtu fudenge (Bulldog) vichwa vitapasuka kwa sifa....te te te
kwani Davido ananini cha kumzid Diamond apart from kuzaliwa Nigeria?I am telling u,mziki wa Diamond ni mkubwa kuliko wa Davido,labda ungesema Mafikizolo ningekuelewa,na hao ndo threat kubwa
Lazima waukaalieeee wenye roho za koroshooooooi
Ukianza alete taarifa mapema