Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

:israel::israel::israel::israel::israel::israel: TZ Oyeeeeee..safi sana Diamond
 
Navyomjua Diamond kwa kutumia fulsa..anaweza kuchukua namba za mastaa wote atakaowaona siku ya Tuzo ni hatua kubwa kwa kweli..BAKI wer r u?..
 
JEMBE HALIMTUPI MKULIMA.......Dogo umefika huko kwa ajili ya nidhamu ya kazi, kujituma na kuwa na mipango endelevu (vision)...

Ushindani ni mkubwa na ninaamini lolote laweza kutokea.....tupo nyuma yako young blood...na mpaka hatua hiyo umeshaingia kwenye orodha ya watanzania wachache wanaopeperusha bendera yetu kimataifa.

........BIG UP....
 
Hongera sana, tunatakiwa kumsapoti na kumpa moyo, anafanya vzr kuliko hata tunaowashabikia labda tofauti yake kwa sababu anaimba Kiswahili, tuwe wakweli dogo anaenda vzr! Atafika mbali zaidi km hatabweteka!
 
Kweli anajitahidi, ila kwa kutajwa hapo inatosha kuchukua ni kazi ya ziada....
 
Davido ana kura zote za west africa
Mafikizolo wana kura za wasauzi
Diamonds inabidi abebe za east africa

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

itabidi tupige kura kwa wingi ili ushindi uje nyumbani Tanzania.
 
Plzzzz watanzania wenzangu!! Vote vote vote vote..
Daah, Diamond big up mingi
 
Hongera Diamond naona safari yako sasa ipo pazuri hata usiposhinda ila kwenye ramani sasa hivi upo. Big up Platnumz
 
Hogera sana shemeji,ngoja nikuandalie migebuka na ugali wa rowe.
 
Davido ana kura zote za west africa
Mafikizolo wana kura za wasauzi
Diamonds inabidi abebe za east africa

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Tunavochukiwa na majirani zetu wakenya na rwanda--uganda, congo na burundi watatupigia
 
kuteuliwa BET ni kitu kikubwa sana hata asiposhinda...imagine kina chameleone, jaguar nk wote kawashinda...at least katuweka TZ kwenye ramani....

Kuchaguliwa tu ushindi aiseh , nasubir upande wa filamu na wenyew tuchaguliw tuzo kubwa kama za oscar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…