Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

Tanzania tunaingia kwenye ramani ya dunia mdogo mdogo...zamani ukiwaambia watu unatokea Tz wanauliza ndio wapi....mpaka utoe maelezo mareeeefu, Africa... East Africa... Kilimanjaro....Thanks again Diamond kwa kupeperusha bendera....
 
Msanii na elimu wapi na wapi...msimvunje moyo kijana.....


Yeye akifika huko atwange hata Kiha...kitachomfanya ashinde ni mziki wake na kura zetu; hayo ya lugha sijuhi elimu tuwaachie wanaotafuta kazi UN....

Hao kina Davido wanaimba lugha hata hazieleweki, lakini mziki wao tunaupenda...

Na nachompendea huyu dogo ni confidence...hajali watu wanasema nini kuhusu level ya kimombo chake...na hicho ndo kinamfanya aendelee kuthubutu....


Elimu tatizo kwa wasanii bongo
 
naseeb huyu huyu aliesoma tandale leo anaenda kukaa meza moja na jay z kweli dunia duara tutakutana kati

Heheheiyya. Nimefurahije sasa....aka team diamond.

From Mtogole to America.....! God bless u bro....!
 
Tanzania tunaingia kwenye ramani ya dunia mdogo mdogo...zamani ukiwaambia watu unatokea Tz wanauliza ndio wapi....mpaka utoe maelezo mareeeefu, Africa... East Africa... Kilimanjaro....
dah! unanikumbusha hiî, enzi hizo wényewe tunajidanganya kwamba TZ inafahamika ile mbaya duniani... hadi wakati mwingine unalazimika kuitaja Kenya baada ya kuitaja Kilimanjaro bila mafanikio!!
 
Davido ana kura zote za west africa
Mafikizolo wana kura za wasauzi
Diamonds inabidi abebe za east africa

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Kuna watu wanachuki zao hawawezi kumuunga mkono,wanatamani wangechaguliwa wao.
 
itabidi tupige kura kwa wingi ili ushindi uje nyumbani Tanzania.

unafikiri sababu ya kuchaguliwa kwake ni kipaji la hasha ni kuongeza kwa idadi ya kura kwenye server za channel o sa kutokana na mtaji mkubwa wa mashabiki maana kuna kenya ug sio sana ,tanzania na nigeria tz kuna za bongo movie na fans wa kawaida bet wanafocus hapo kwenye pesa watakayopata all in all its gud kid doing gud music
 
tuzo za huku alivaa utumbo wa sket, tuzo za huko sijui atavaaje

hapo ndipo ninapompendea diamond na maana halisi ya ustar yaani watu wanashauku kujua what will happen .tofauti na wasanii wengine yeye ana keep head za watu zili ring ata akiwa na sho kesho mwngine anataka kuja kuona tu atavaa nini au atafanya nini
 
HOD hapo ndo unapokoseaga tu.Jifunze kuleta taarifa na kuacha watu watoe comment zao au kuwajibu sehemu ambayo inayohitaji clarification kutoka kwako.Hongera Diamond.

huyu sio mtoa taarifa wa kawaida huyu ni mfanyakazi wake lazima atangaze interest mapema atakula wapo asipofagilia kibarua chake au utaki apandishe cheo
 
tanzania to lagos
i will make u famous
ooooh ooh ooo!!

Kweli jamaa aongei uongo big up davido
 
Mwenye Kujua kura za BET zinapigwaje atoe maelezo yakutosha tuwanze kupiga kura Nigeria km nawaona vile wanavyotwanga za kwao....
 
hapo ndipo ninapompendea diamond na maana halisi ya ustar yaani watu wanashauku kujua what will happen .tofauti na wasanii wengine yeye ana keep head za watu zili ring ata akiwa na sho kesho mwngine anataka kuja kuona tu atavaa nini au atafanya nini

Watu ama wewe ndo una shauku??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…